← Nyuma





Dodoma · Kiwanja
KuuzaMaelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 9, 2026
Vifaa
corner plotprime locationinvestment opportunity
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Ukiacha Pesa Zako Benki Zinanapoteza Thamani, Hata Kama ni Fixed Profit ya 10-12% kwa Mwaka ni Sawa na Kulinda Mdumko wa Bei kwa % Chache Sana.. Ila ukiiwekeza kwenye Ardhi ya Dodoma Inazalisha Utajiri! Kwa 30-40% kwa Mwaka 🏢💰 Miliki Viwanja vya Kimkakati Katika Maeneo ya Juu ya Uwekezaji (Prime Locations) Jijini Dodoma. Huwezi kupiga hatua kubwa ya kiuchumi kwa kusubiri—unapiga hatua kwa kuchangamkia fursa kabla wengine hawajastuka. Makazi General Properties tumekukusanyia maeneo bora zaidi jijini Dodoma ambayo yako tayari kwa ajili ya miradi mikubwa ya kibiashara, makazi ya kifahari, au kitega uchumi chochote unachowaza kukijenga. Hizi hapa fursa za dhahabu zilizopo mezani leo: Njedengwa Investment (Block BA) | SQM 4,000: Ni Corner Plot ya kipekee inayotazama barabara ya lami pande mbili. Eneo kamili kwa ajili ya hoteli, jengo la ofisi, au maduka makubwa. [Bei: Tsh 1.6B] Iyumbu (Block S) | SQM 3,300: Ipo katikati kabisa ya New Town Center. Eneo linalokua kwa kasi ya hatari. [Bei: TSh 350M] Medeli West (Shoppers) | SQM 2,611: Eneo teule la kibiashara karibu na huduma zote muhimu. [Bei: TSh 680M] Medeli West | SQM 3,122: Ukubwa na nafasi ya kutosha kwa mradi wowote wa maana. [Bei: TSh 1.5B] Mlimani (Uzunguni) | SQM 4,300: Eneo la kifahari zaidi Dodoma! Linatazama barabara ya lami, linafaa kwa makazi ya viongozi, ubalozi, au apartimenti za kisasa. [Bei: TSh 2.1B] 🎯Chukua Hatua Sasa Hivi: Hati zote zipo safi na maeneo yameshapimwa tayari kwa maendeleo. Usiache fursa hii ipite, ardhi ya Dodoma haisubiri mtu! Wasiliana nasi sasa hivi kupata maelezo zaidi au kufanya ukaguzi: 📞 Simu/WhatsApp: +255 765 113 961 | +255 785 439 614 📧 Barua Pepe: makazigeneral@gmail.com 📍Ilazo Extension, Dodoma #viwanjadodoma #uwekezaji #DodomaInvestment #primeplots #tanzaniarealestate
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 16 zilizopitaMbweni · Nyumba
18 2
MR SPOTTER REAL ESTATE

Kuuza
saa 17 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
78 2
MR SPOTTER REAL ESTATE

Kuuza
siku 1 iliyopitaTSh 58M
Kinyerezi Kibaga · Apartment
480 3
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS 🔥