← Nyuma





TSh 1B
Mlimani City · Kiwanja
Kuuza
Ilipochapishwa
Jun 5, 2026
Vifaa
title deed288 sqmnear main road
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
🔥 PRIME PROPERTY FOR SALE – MLIMANI CITY 🔥 🇹🇿 Je, unatafuta eneo la kifahari kwa biashara au uwekezaji wenye thamani ya juu? Hii ni fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja katika moja ya maeneo yanayohitajika zaidi jijini Dar es Salaam. 📍 Mahali: Mlimani City – kimepakana moja kwa moja na barabara ya lami 📐 Ukubwa: 288 sqm 📜 Hati Miliki (Title Deed) ipo 💰 Bei: TSh Bilioni 1 (mazungumzo yapo) Kiwanja hiki kinafaa kwa matumizi mbalimbali ikiwemo biashara, ofisi, showroom, apartments, au uwekezaji wa muda mrefu katika eneo lenye ukuaji mkubwa na thamani inayoongezeka kila mwaka. 📞 Wasiliana nasi sasa: 0787 705 274 ⚡ Usikose fursa hii adimu ya kuwekeza katika eneo la kifahari lenye miundombinu bora na matarajio makubwa ya maendeleo. #MlimaniCity #LandForSale #PropertyForSale #DarEsSalaam #RealEstateTanzania InvestmentOpportunity PrimeLocation CommercialProperty TanzaniaProperty MafiaRealEstate
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 16 zilizopitaMbweni · Nyumba
18 2
MR SPOTTER REAL ESTATE

Kuuza
saa 16 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
78 2
MR SPOTTER REAL ESTATE

Kuuza
siku 1 iliyopitaTSh 58M
Kinyerezi Kibaga · Apartment
480 3
NUNUA KIWANJA AU NYUMBA BILA STRESS 🔥