← Nyuma




saa 15 zilizopita
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 11, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Kila biashara kubwa ilianza na uamuzi mmoja muhimu... Kuchagua location sahihi. Je, unatafuta: 🏢 Office ya kisasa? 🏪 Frame ya biashara? 🛍️ Duka? 🏬 Sehemu ya kufungua kampuni, saluni, boutique au biashara nyingine? Acha kuhangaika kutafuta peke yako. Boma Real Estate tunakusaidia kupata eneo sahihi kulingana na aina ya biashara yako, bajeti yako na malengo yako. Tunakuletea maeneo yenye: ✅ Muonekano mzuri wa biashara ✅ Mzunguko mkubwa wa wateja ✅ Usalama wa kutosha ✅ Upatikanaji rahisi wa usafiri ✅ Bei zinazolingana na uwezo wako Kwa nini biashara nyingi zinashindwa kukua? Mara nyingi si kwa sababu ya huduma mbaya, bali kwa sababu ya location isiyofaa. Biashara yako inastahili kuonekana. Biashara yako inastahili kupata wateja kwa urahisi. Biashara yako inastahili location inayofanya kazi masaa 24 kwa ajili yako. Hapo ndipo Boma Real Estate tunaingia. Tuambie unahitaji eneo la aina gani, nasi tutakusaidia kupata sehemu sahihi kwa biashara yako. 📞 Call/WhatsApp: 0799702068 🏢 BOMA REAL ESTATE ✨ Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia ✨ #BomaRealEstate #SehemuYaBiashara #OfficeSpace #FrameZaBiashara #BusinessLocation DarEsSalaam CommercialProperty RealEstateTanzania :::
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

saa 14 zilizopita
Dar es Salaam
103
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kupanga
saa 15 zilizopitaDar Es Salaam · Ofisi
6
Realtor Masaki,Oysterbay,Mikocheni,Upanga
Dar es Salaam
1
MR SPOTTER REAL ESTATE