← Nyuma





TSh 95M
Kigamboni · Nyumba
Kuuza
Vyumba
2
Bafuni
1
Eneo
Kigamboni
Ilipochapishwa
Jun 7, 2026
Vifaa
mastersebuledining roomjikofensigetialuminium windowsmajiumeme 24usalama
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBI (KARIBU NA FAN CITY) 🏡 Unatafuta nyumba ya kisasa, kubwa na tayari kwa kuhamia? Hii ndiyo fursa yako! ✨ Nyumba mpya kabisa ✨ Ipo ndani ya fensi na geti tayari ✨ Vyumba 2 vya kulala (vyote Master) ✨ Sebule kubwa sana ✨ Dining Room ✨ Jiko la kisasa ✨ Public Toilet ✨ Aluminium za kisasa nyumba nzima ✅ Maji ya uhakika (Shindili) ✅ Umeme Saa 24 ✅ Usalama wa kutosha ✅ Kilomita 1 tu kutoka barabara kuu ✅ Kiwanja chenye ukubwa wa Square Meter 500 📍 Mikwambi, Kigamboni – Upande wa Fan City 💰 Bei: Tsh 95,000,000/= Tu 🤝 Mazungumzo yapo Nyumba hii imekamilika kwa kiwango kizuri sana, haina kazi yoyote ya kufanya. Ni suala la kuhamia na kuanza maisha mapya katika mazingira bora na salama. 📞 Call/WhatsApp: 0799702068 🏡 BOMA REAL ESTATE ✨ Kutoka Kutafuta Hadi Kuhamia ✨
Nyumba zinazofanana
Kuuza
wiki 3 zilizopitaTSh 7B
Kigamboni · Kiwanja
Kombe Real Estate
Kuuza
wiki 2 zilizopita$850,000
Kigamboni · Kiwanja
11
Side Beach Plots Tanzania

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 16 zilizopitaMbweni · Nyumba
18 2
MR SPOTTER REAL ESTATE