← Nyuma





TSh 1B
Salasala · Apartment
Kuuza
Vyumba
5
Eneo
Salasala
Ilipochapishwa
Jun 4, 2026
Vifaa
swimming poolparkinggardenguest housemodernspacious
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Ghorofa la kisasa linalouzwa katika moja ya maeneo bora kabisa Salasala. Lina kila kitu unachohitaji kwa ajili ya maisha ya kifahari: Sifa za Jengo: 📐 Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 1400 🛏 Vyumba: Vyumba 5 vya kulala (vikubwa na vyenye mwanga mzuri) 🏡 Boycott (Bycotta): Ipo kwa ajili ya watumishi au wageni 🏊♂️ Swiming Pool: Safi na kubwa kwa ajili ya mapumziko ya familia 🌳 Uwanja: Sehemu kubwa ya kupumzikia yenye bustani ya kisasa na miti ya kuvutia 🚗 Parking: Eneo kubwa la kupaki magari na barabara ya lami inayofika mpaka getini 💰 Bei: Tsh Bilioni 1 (1B) Kama unatafuta utulivu, usalama, na hadhi ya juu kwa ajili ya familia yako, hii ndio chaguo sahihi. 📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya booking ya kuitembelea: @makaziboratz Au @dalalimbezibeach1tz 0654929655 Au 0785008204 WhatsApp/Call
Nyumba zinazofanana
Kuuza
Jan 7, 2026TSh 1.6B
Salasala · Kiwanja
4
Dream it, Live it

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 16 zilizopitaMbweni · Nyumba
18 2
MR SPOTTER REAL ESTATE

Kuuza
saa 16 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
78 2
MR SPOTTER REAL ESTATE