← Nyuma




saa 15 zilizopita
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 27, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Tupo makini na biashara, lakini mafanikio ya uwekezaji huanza kwa jambo moja muhimu: kuwa na imani na dalali unayefanya naye kazi. Pia, uwe msikivu kwa ushauri wa soko. Fahamu mahitaji halisi ya wapangaji—wanapendelea ukubwa gani wa vyumba, mpangilio gani wa nyumba, na huduma zipi zinazowavutia. Ukijenga kwa kuzingatia mahitaji ya soko badala ya hisia zako, nafasi ya kupata wapangaji kwa haraka na kufanya uwekezaji wenye faida huwa kubwa zaidi. Uwekezaji wenye mafanikio hujengwa kwa maarifa, si kubahatisha.
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

saa 14 zilizopita
Dar es Salaam
103
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kupanga
saa 15 zilizopitaDar Es Salaam · Ofisi
6
Realtor Masaki,Oysterbay,Mikocheni,Upanga
Dar es Salaam
1
MR SPOTTER REAL ESTATE