← Nyuma




saa 15 zilizopita
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 27, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Ukijiona bado hujawa tayari kuwekeza, tafadhali usitutafute. Sisi tunafanya kazi na watu wa ukweli, wenye maamuzi na wanaoheshimu muda. Hatudili na ahadi zisizo na utekelezaji, masifa ya uongo au visingizio visivyoisha. Dalali akipiga simu ukamweka busy, ujue si dalali ndiye anayepoteza muda. Wakati huo huo kuna mteja mwingine wa kweli anapata huduma, anakagua eneo na anakamilisha biashara. Kuwekeza kunahitaji uamuzi, uwazi na ukweli. Muda ni mali—tuheshimiane.
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

saa 14 zilizopita
Dar es Salaam
103
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kupanga
saa 15 zilizopitaDar Es Salaam · Ofisi
6
Realtor Masaki,Oysterbay,Mikocheni,Upanga
Dar es Salaam
1
MR SPOTTER REAL ESTATE