← Nyuma




saa 15 zilizopita
Dar es Salaam
Maelezo hayajathibitishwa
Ilipochapishwa
Jun 23, 2026
Wasiliana na Dalali (WhatsApp)Tazama chapisho la awali kwenye Instagram →
▸▾Maelezo ya awali
Inasikitisha sana... Unaweza ukasave mamilioni ya pesa, ukajinyima kula vizuri, na ukawekeza kwenye kiwanja au ujenzi... kisha siku moja unagundua kuwa mmeuziwa kiwanja kimoja watu 3 au mafundi wamekuwa wakikuzidishia gharama za material na ujenzi. Watu wengi wanafikiri kununua ardhi ni siri ya utajiri, lakini ukweli unaouma ni kwamba bila ukaguzi wa kisheria wa umiliki (search) au hati, kufahamu makadirio halisi ya gharama za ujenzi ni sawa na kujichimbia kaburi la kiuchumi wewe mwenyewe. Je, uko tayari kuona jasho lako likipotea kizembe kisa tu uliogopa kufuata taratibu? Acha kucheza kamari na ridhiki ya maisha yako, Linda uwekezaji wako sasa. Makazi General Properties tupo hapa Dodoma kukupa Huduma Zote: Uhakiki wa Hati Miliki na Transfer. Viwanja vya uhakika (Makazi, Biashara, na Mashamba). Ramani na Makadirio ya Gharama za Ujenzi kabla hujaanza. Wasiliana nasi sasa hivi: 📞 0785439614 📲0765113961 📍 Dodoma, Dar es salaam na mikoa mingine. #ViwanjaDodoma #MakaziGeneralProperties #UjenziTanzania #HatiMiliki #UwekezajiSalama
Nyumba zinazofanana

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 850M
Mbweni · Nyumba
5 vyumba
211 2
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 14 zilizopitaTSh 750M
Mbweni · Kiwanja
175 1
Dalali Mkombozi

saa 14 zilizopita
Dar es Salaam
103
Dalali Mkombozi

Kuuza
saa 13 zilizopitaTSh 380M
Goba · Nyumba
3 vyumba · 1 bafuni
730
Dalali Mkombozi

Kupanga
saa 15 zilizopitaDar Es Salaam · Ofisi
6
Realtor Masaki,Oysterbay,Mikocheni,Upanga
Dar es Salaam
1
MR SPOTTER REAL ESTATE